Kifaru cha T-90 ndio kifaru bora zaidi duniani

State Propaganda

JF-Expert Member
Apr 25, 2024
479
1,194
Hilo limethibitishwa nchini Ukraini katika uwanja wa vita ambapo vifaru maarufu vilijulikanavyo kama Leopard (kutoka Ujerumani), Challenger (kutoka Uingereza), pamoja na Abraham's (kutoka marekani) vyote vikichakazwa na kifaru bora kabisa kutoka nchini Urusi kijulikanacho kama T-90.

Take home message:

Western technology is superior to Russia's.... on paper.
IMG_20240428_072849.jpg
 
Mkuu, hivi hizo siyo State Propaganda kweli?

Kwa sababu nijuavyo mie ni kwamba ubora wa silaha fulani vitani hutegemea silaha zingine zote plus intelligence services.

Je, Ukraine amewezeshwa 100% kwenye accessories zingine akalingana na Mrusi?

Au ni Abrams, Challenger na Leopards tu???

Ili jaribio fulani liwe hamuli (viable) lazima vigezi/factors vingine vyote viwe taini (constant).

Je, mchakato huu wa jaribio umefuatwa???

Kwa mantiki hiyo unadhani hitimisho husika ni la kisomi au kichomi???
 
Ngoja kwanza nikuelimishe bwana mdogo:
Mrusi wa Buza vipi hali ya mafuriko huko?
T-90 tank is the most powerful tank in the world. A third generation Russia tank which is equipped with a 125mm cannon, a dual 7.62 mm machine gun and a 12.7mm M/T machine gun.
It is very advanced and has very high technologies that suprass the inferior western industries that have proven insufficient in special military operations in Ukraine
 
Mkuu, hivi hizo siyo State Propaganda kweli?

Kwa sababu nijuavyo mie ni kwamba ubora wa silaha fulani vitani hutegemea silaha zingine zote plus intelligence services.

Je, Ukraine amewezeshwa 100% kwenye accessories zingine akalingana na Mrusi?

Au ni Abrams, Challenger na Leopards tu???

Ili jaribio fulani liwe hamuli (viable) lazima vigezi/factors vingine vyote viwe taini (constant).

Je, mchakato huu wa jaribio umefuatwa???

Kwa mantiki hiyo unadhani hitimisho husika ni la kisomi au kichomi???
Tofautisha uwezo wa silaha kwenye maandishi na field.

Kifaru kama leopard kilipambwa sana mitandaoni kama ni 'mighty' tank.

Lakini field in war ground kimeprove failure kubwa.
 
Mkuu, hivi hizo siyo State Propaganda kweli?

Kwa sababu nijuavyo mie ni kwamba ubora wa silaha fulani vitani hutegemea silaha zingine zote plus intelligence services.

Je, Ukraine amewezeshwa 100% kwenye accessories zingine akalingana na Mrusi?

Au ni Abrams, Challenger na Leopards tu???

Ili jaribio fulani liwe hamuli (viable) lazima vigezi/factors vingine vyote viwe taini (constant).

Je, mchakato huu wa jaribio umefuatwa???

Kwa mantiki hiyo unadhani hitimisho husika ni la kisomi au kichomi???
Kwani kabla ya kuwezeshwa Ukraine alikuwa na nguvu gani kwani?
 
Watu wanatumiana drones nyie wekezeni kwenye makambi ya jkt
Drone zinachukua maeneo ? Au unazungumzia vita za kushambuliana mbali mbali kama vichaa ?!.

Yaani usitawale ardhi ufikiri utashinda vita kirahisi tu kwamba hao askari wanakaa angani.

Israel imepiga makombora ya ndege Gaza na kushusha majengo mengi pamoja na kufanya hivyo hawakuwaangamiza Hamas imewalazimu kushuka chini kupambana na Hamas na mpaka leo bado wanapambana na Hamas.
 
Siku hz vita ni anga haya madude ya ardhini yana mchango mdogo
Kwenye vita vya aridhini, temea mate chini mzee wangu, hayo madude siyo.

Ni bonge la kivuruge hasa kuliko unavyoyaona.

Kwanza kule kusema uchungulie kwenye handaki ulilenge Rpg, tayari jamaa ashakuona, anakunyeshea mvua za rashasha huku akikusogelea kuja kukuzika hai!

Lakini ndege kitu gani bhana, akiwalamba zake cruise machine gun awakute mmejichimbia vizuri aridhini, anatoka bila bila.
 
Back
Top Bottom