Hivi JPM yupo JF? nahitaji nisome nae huu uzi.'Titanic is sinking' Ilikuwa ni title ya kitabu tulichosoma form one mwishoni mwa miaka ya 80...hadithi ya kweli yenye mafunzo mengi baadae ilikuja kutengenezwa sinema iliyojivunia umaarufu mkubwa duniani, sinema ya TITANIC
ndani ya ile sinema iliyobeba hisia nyingi za mapenzi usaliti ubabe na dharau kuna mafunzo na darasa kubwa tuliloachiwa
√KUKOSA UMAKINI
Nahodha mahiri akiwa anaongoza meli kubwa duniani isiyozama, ananasa tukio la DiCaprio na mpenzi wake wakiwa kwenye pozi la mahaba mazito.. Badala ya kuangalia kazi yako anajisahau kabisa na kukodoa macho ya utamanifu
√DHARAU
Nahodha kuja kushtuka naona kitu Kama Kichuguu cha barafu lakini anadharau akidhani kile ni Kichuguu kidogo na si mwamba mkubwa...kwakuwa tu TITANIC IS UNSINKABLE...!!!
√USALITI
yule binti baada ya kulazimishwa kuolewa na tajiri mwenye kila kitu alikuja kusaliti ndoa yake kwa kijana mdogo kapuku
√UBABE NA PESA SI KILA KITU MAISHANI
tajiri yule aliamini kuwa kwa pesa yake angeweza kupendwa na yoyote.... Lakini matokeo tuliyaona. Mapenzi ya kweli hayachagui
√UPWEKE NA KUHUKUMIWA NA ROHO
yule binti alikuja kuishi mpweke Mpaka anakufa miaka michache iliyopita..true love happens once in the life time
Kuna mengi yaliyo hai ya kujifunza hata katika maisha yetu ya leo hii.... Yaliyojiri wiki nzima iliyopita na hitimisho lake pale ubungo leo havitofautiani sana na habari ya Titanic
Tuliokuwa tunadhani kile ni kisiki tulikosea sana.... Kumbe ule ni mwamba mkubwa na kwa dharau zetu na kiburi kilichopitiliza our TITANIC IS SINKING... =======
Mwisho wa jambo moja ni mwanzo wa jingine, tunahitaji kuwa na juhudi za dhati ili kuokoa uhai na mali kadiri inavyowezekana meli inapoanza kuzama'Titanic is sinking' Ilikuwa ni title ya kitabu tulichosoma form one mwishoni mwa miaka ya 80...hadithi ya kweli yenye mafunzo mengi baadae ilikuja kutengenezwa sinema iliyojivunia umaarufu mkubwa duniani, sinema ya TITANIC
ndani ya ile sinema iliyobeba hisia nyingi za mapenzi usaliti ubabe na dharau kuna mafunzo na darasa kubwa tuliloachiwa
√KUKOSA UMAKINI
Nahodha mahiri akiwa anaongoza meli kubwa duniani isiyozama, ananasa tukio la DiCaprio na mpenzi wake wakiwa kwenye pozi la mahaba mazito.. Badala ya kuangalia kazi yako anajisahau kabisa na kukodoa macho ya utamanifu
√DHARAU
Nahodha kuja kushtuka naona kitu Kama Kichuguu cha barafu lakini anadharau akidhani kile ni Kichuguu kidogo na si mwamba mkubwa...kwakuwa tu TITANIC IS UNSINKABLE...!!!
√USALITI
yule binti baada ya kulazimishwa kuolewa na tajiri mwenye kila kitu alikuja kusaliti ndoa yake kwa kijana mdogo kapuku
√UBABE NA PESA SI KILA KITU MAISHANI
tajiri yule aliamini kuwa kwa pesa yake angeweza kupendwa na yoyote.... Lakini matokeo tuliyaona. Mapenzi ya kweli hayachagui
√UPWEKE NA KUHUKUMIWA NA ROHO
yule binti alikuja kuishi mpweke Mpaka anakufa miaka michache iliyopita..true love happens once in the life time
Kuna mengi yaliyo hai ya kujifunza hata katika maisha yetu ya leo hii.... Yaliyojiri wiki nzima iliyopita na hitimisho lake pale ubungo leo havitofautiani sana na habari ya Titanic
Tuliokuwa tunadhani kile ni kisiki tulikosea sana.... Kumbe ule ni mwamba mkubwa na kwa dharau zetu na kiburi kilichopitiliza our TITANIC IS SINKING... =======
Sifa moja kubwa ya binadamu walio wengi ni unafique, lakini vilevile hawa wanaweza kumponda huyo na kamsifu yule kwa nia ya kumchora tu... Kwakuwa pengine wameshagundua jamaa anapenda sana kusifiwa na kukosolewa kwake mwikoMwisho wa jambo moja ni mwanzo wa jingine, tunahitaji kuwa na juhudi za dhati ili kuokoa uhai na mali kadiri inavyowezekana meli inapoanza kuzama
Ni kama tumegundua kitu ambacho hatukuwa tukijua ukweli ni kwamba hatuna rais wakutegemeka
Tulikosea kuchagua na ndio itatugharimu sehemu kubwa ya maisha yetu
Kama mimi nimekuwa nikishangazwa na watu kumponda bashite kwa nguvu zote na kumsifia rais kwa nini tunamuogopa?
Kuanzia wabunge, mawaziri gwajima,ruge na wengine wengine wanamsifu sana rais alafu wanamponda bashite huwa siwaelew coz yule top ndio shina tuanze na yee
Brother nakutakia siku njema.Good morning sir
Please just note that we are in the verge of what I may call as ' coming emergency ' we are now living in the era of reasoning....trust me we are no longer at ease... We may blush or bluff off the actual situation by thinking that we are solving the problem but trust me the boil is keeping on swelling ....Mkuu Mimi nakuheshimu sana.
Lakini hivi unajua ujumbe unao uandika una effect kiasi gani? Je haya ni machungu ya kweli kwa nchi yako au yana sababu fulani??
Na haya yote yanayosambazwa humu ukiyapima kwa uzito wake, matamshi yanayo tolewa na uhalisia wa mambo yalivo je ni kweli nchi ndo ilipo fikia?
Hatuoni kwamba kwa mada za namna hii tunakata tawi tulilokalia?
UmetishaKwakuwa pengine wameshagundua jamaa anapenda sana kusifiwa na kukosolewa kwake mwiko
Tuwawekee sinema ya Titanic na kile kilichotokea usiku ule wa April 14 kuamkia 15 1912 halafu tuwawekee wanazuoni makini wawatafsirie kwa ulinganisho na maisha yao ya kisiasa leo hii......Brother nakutakia siku njema.
Ila naomba uniambie Mwenge unaletaje Tumaini pasipo na tumaini?
Watanzania tumepoteza tamaini na hakuna msaada.
Anajiamini kila kitu ilikuwa ni uamuzi wakeThanks Mshana,.....somo zuri saana
Let's wait and see.....time will tell
Btw hukumshauri akachukue form
Tuwawekee sinema ya Titanic na kile kilichotokea usiku ule wa April 14 kuamkia 15 1912 halafu tuwawekee wanazuoni makini wawatafsirie kwa ulinganisho na maisha yao ya kisiasa leo hii......
Buji Kumbuka hii kanuni... Wanasiasa wanapayuka wanazuoni wanaandika...!!!
Tulipata tabu sana 2015 sio hapa ndan tu nadhan hata huko mtaani kumpigia mtu kelele na kuaminisha watu kuwa huyu ndo sahihi ana tabia kama za muasisi mkuu wa kaya hii yule wa butiama lakin katukana jana na pia 2020 nadhan nitachagua mikoa ya kanda ya ziwa ili kaz ikawe rahsi kidgo mana sehem zingine tutashindwa kuwaambia nn kafanya zaid ya barabara kujengwa dar na vingine vyote nyumbanAnajiamini kila kitu ilikuwa ni uamuzi wakehakuwa na hana shirika na mtuhata kura alijipigia mwenyewe(maskini akipata....).! Na hata ushindi wa kupora alifanya yeye....the secret is unlocked