kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,162
Kichekesho juu ya kinachoitwa SGR nchini tumepigwa zaidi ya bilioni 500
Kwanza kuna aina 3 au 4 za reli kulingana na gauge/geji.....1.Broad gauge, 2.Metre Gauge, 3.Narrow gauge, and 4.Standard gauge...Hizi reli zetu tulizonazo humu na Africa tokea mkoloni ni Meter Gauge (MGR) ....SGR hyo wanayosema wamejenga inapaswa kutembea kilometer 160 kwasaa (160kmph) ambayo kwa Dar mpaka morogoro inapaswa kutumia lisaa limoja tu na nusu. Yale mareli yetu ya zamani tungeyaboresha ingeweza kutembea kilometa 70 hadi 90 kwa lisaa maana huko Asia baaz ya nchi wana baadhi ya tren za zaman ila zinaenda mpaka 120 km kwa lisaa...Tunatumia matrilioni kujenga treni ya gharama kubwa sana halaf ufanisi mdogo
Kuna miaka nilisafiri kwa treni hizi zetu za MGR kutoka Dsm hadi Moshi tuliondoka Dar saa tisa na dakika 5 hapo ndo imeanza safari tukafika moshi kesho yake saa mbili asubuhi saa 2 na dk 20....Hapo tulitumia masaa 17 kusafiri Kwenda Moshi ambayo ni takriban kilometa 547 tu kutokea Dar.
Kwa hesabu za haraka haraka hapo utagundua kuwa treni yetu ya zamani ilikua inatembea kilometa 32 kwa lisaa........Sasa kwa reli za mgr inatakiwa itembee kilometa 70 hadi 100 kwa lisaa hii yetu ya zamani tungeboresha walau itembee kilometa 60 kwa saa tungekua mbali sana....Ingetembea kilometa 60 tu kwa lisaa walau tungetumia masaa 8 au 9 tu kwenda moshi kwa treni lakini viongoz wa nchi hii hawana mawazo hayo kabisa.
Hii nchi tunajua kupigwa basi tu.....Kila kitu lazima kikosewe tu mnaahidiwa hivi mnaletewa vile....Tz imekua kama kikuu jamani unachokiona unakiagiza ni tofauti na unacholetewa..Halaf report za CAG zilisema shirika la reli kuna madudu mengi.
Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema TRC ilikataa zabuni mara mbili kwa ajili ya manunuzi ya vichwa vya treni na umeme, makochi ya abiria ambapo mzabuni aliyekuwa na bei ya chini alikuwa na dola za marekani milioni 263.4 na kufanya manunuzi yasiyo na ushindani kwa dola za marekani milioni 478.5. Maamuzi haya yalisababisha ongezeko la dola za marekani milioni 215.4 sawa na ongezeko la asilimia 82. Hili ongezeko halikuwa la lazima.
Mzabuni wa bei nafuu alikubali kufanya kwa bilioni 617 wakamkataa Wakamchukua wa trilioni 1.119...Na walimkataa bila sababu yoyote ile pamoja na kumchukua wa ghali lakin bado treni haina tofauti na lile la kizaman enzi za wakoloni.
Uzi ulikuja JF huu hapa
- Ripoti ya CAG 2021-2022: TRC ilimkataa mzabuni wa Tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi
Maamuzi haya yalisababisha ongezeko la dola za marekani milioni bilioni 502 sawa na ongezeko la asilimia 82. Hili ongezeko halikuwa la lazima....Bilioni 502 zikaliwa kihuni bila huruma..
My Questions: Kwanini Tanzania kila kitu lazima kikosewe?
Kwanini kila kitu kinakua kinafanywa tofauti na matarajio?
Kwanini hatujawahi kufanya jambo likafana au kuwa na tija lazima tu litoke vise versa ya matarajio?
Kwanini kila jambo linaloahidiwa ni lazima lipindishwe na lisitekelezeke?
Kwanini kila siku sisi ni mpaka yatukute ndo serikali inaamka?Kwanini hawajifunzi kuepuka kurudia makosa kila siku?
Kwanini kila kiongozi sahivi hajali anavutia upande wake kimaslahi tu?Yaani imekua kama nchi na mambo ya wananchi yamesuswa wanatupiana mipira tu danadana chenga zimekua nyingi yaani ubabaishaji umerudi kwa asilimia 100
Taarifa nilizonazo na nazoziona hatutoboi 2026 Nchi zote zilizotuzunguka hazituacha kiuchumi,Ishu ya umeme kati ya Tz,Kenya na Uganda. Sisi kwa megawatts tulikua namba mbili uganda ikiwa ya 3. Kenya wakiwa na megawatts 3300 hivi sisi tunazo 1500 na uganda walikua na 1000 mw hivi sasa uganda wapo 1500mw washatufikia, yaani tunazubaa tunazidiwa ishukuriwe bwawa la Nyerere limewashwa atleast litapandisha kiasi cha umeme tulichonacho .
Mambo ni mengi sana niliyonayo....