NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,572
- 13,399
Mpira ungekua ni uchawi Basi Nigeria wangechukua kombe la dunia, Yanga sc wasingechukua point tatu muhimu mbele ya Rivers United Tena kwenye uwanja wao.
Mpira ungekua ni uchawi Basi Simba sc wangepata matokeo mbele ya Orlando pirates baada ya kuchoma uwanja.
Mpira ni ni Mchezo wa wazi, Fanya usajili bora, weka kocha mwenye mbinu (benchi la ufundi zuri) hakika utafurahia matokeo japokua timu haitoshinda mechi zote.
NALIA NGWENA nimesikitishwa sana baada ya kuona videos na picha zikirushwa kutoka kwenye uwanja wa unaotumiwa na Mashujaa Fc.
Picha za Nyau wamechinjwa uwanjani Mara vitezo vya kufukizia ubani, hii wamekutana nao Wanalambalamba Fc lakini haikuwaathri kisaikolojia wamepambana na kupata point tatu muhimu na MAGOLI matatu bila.
Maoni yangu: mameneja wa uwanja waanze kuajibishwa Sasa kwa kuruhusu watu kwenda uwanjani kufanya ukatili dhidi ya wanyama (kuwachinja).
Kama hujafanya usajili mzuri utafungwa tu haijalishi utachinja punda, nyoka na hii timu za ligi kuu zijifunze mpira siyo ushirikina Bali ni usajili mzuri.