Kibu Denis amkataa meneja wake rashid/ atoa cheche "simjui, tulimalizana"

Makolo watashikamana na Rashidi, wapinzani wao wako upande wa Kibu D mkandaji...

Ni kama ishu ya Fei tu, wananchi wakawa upande wa viongozi wao, na wapinzani wakawa upande wa Fei.
Mwisho wa siku acha inyeshe tuone panapovuja..
 
Unasema humjui alafu unasema ulimpa kaz, utampaje kaz mtu usiyemjua kibu kichwan n amna kitu
 
Huyu mrundi tulifanya kosa sana kumpa uraia, naona kaanza kuota mapembe kwa kuvimbiwa amani ya nchi hii, ...me naonaga huko nchi za wenzetu mtu anaepewa uraia huwa ni mwenye kipaji haswaa ,kibu tungekuwa na timu ya taifa ya lugby angetufaa zaidi lakini kwenye football hapana kwakwel
 
Kibu hana mkataba na mbumbumbu, aachwe afanye mambo yake
 
Licha ya pesa but Elimu inaumuhumu sana kwakweli
Huyu chizi anaenda kujimaliza mwenyewe
Anajitambua huyo Watanzania wengi mmajisifia Elimu mwisho wa siku mnalalamika mshahara sijui kikokotoo kimefanyeje mtu mwenye Elimu yake atalalamika huo upuuzi..
 
Reactions: K11

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…