Kibu Denis amkataa meneja wake rashid/ atoa cheche "simjui, tulimalizana"

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
465
1,137
Msikie alichokizungumza Mchezaji wa Simba Kibu D baada ya sitofahamu inaendelea kati yake na Klabu yake na Simba
Ambapo hapa ameeleza kila kitu na kumuhusu Meneja wake ambaye ndiye alikuwa anatoa taarifa zake
 
Huwezi kuchagua lini utachokozwa. Mfano jirani anamega kipande chako cha Ardhi unasema ngoja nisubiri nitamuuliza December maana saa hizi Niko busy na mitihani ya BODI. UTO waanzishe hata Tuition shabiki wengi ni weupe .
Malizaneni na striker wenu hatari mwenye goli moja msimu mzima ligi ikianza hatutaki lawama kwa mzee wenu Mangungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom