KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,215
Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi,

Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO.

Wamarangu,
Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku

Nawasilisha
 
Sio kila askari ni Polisi.huyo mleta habari amekurupuka mno.
Sijui kwa nini huwa watu wanakimbilia kuleta habari nusu nusu?
Kwa hiyo,

Unataka kunambia anaeruhusiwa kuwa na silaha uraiani ni Mwanajeshi?
 
Amelipigwa Risasi akiwa anatembea kwa mguu akitokea kazini
Alikuwa hajawasha? Maana hizo pande za kindi hasa kindi kati Watu wake ni hatari sana tofauti na wakibosho wote.

Anyway, Mwenyezi Mungu akupumzishe unapostahili kwa rehema zake munama, ndefika mbe munishi
 
Kuna vitu vyashangaza sana ! hizo ni kazi za watu wa veterinary department .

Hao tanpol wanaenda kutumia live bullets kwa mbwa wakati kitengo cha vet wangeweza kuelimiate hao mbwa in a safest way !

Hao polisi hiyo si kazi yao pia nani kawatuma?
 
Atakuwa amemlenga makusudi,hawa polisi kwa sasa hawaaminiki . Mungu ampe pumziko jema marehemu ila huyo askari atiwe msukosuko.
Hivi mnaong'ang'ania ni polisi kivipi?

Huko kilimanjaro polisi kazi yao ni kusaka na kuua mbwa mitaani?
 
Hivi mnaong'ang'ania ni polisi kivipi?

Huko kilimanjaro polisi kazi yao ni kusaka na kuua mbwa mitaani?
Wana kazi gani nyingine zaidi ya hiyo,kupiga gwaride,kulinda benki (as per Simbachawene )na kusingizia watu kesi za uongo?

Watetee siku ukiingia 18 zao hata vitukuu vyako habari yako vitaikuta.
 
Back
Top Bottom