Huyu ni suitable kwa s/g mmoja wapo amchukue!!Queen wa mwanyamala asiyekwisha utamu mama zuchu aka makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake anatafuta mwezi ila awe mtu mzima sasa ameamua kutulia
USSR View attachment 2513463
Si hata yule aliyefariki alikuwa kijana mdoogo kabisaHadi mtu anasema kua ameamua kutulia,aisee yawezekana amevuruga sana,na katahadharisha kua awe mkubwa,ujue labda vijana wa mjini wamevuruga pia sana,na wanavuruga ila sasa anaona noma kutambulisha mtu wa umri mdogo kua ndiye mume.
Kila bwana anayemuoa anafariki,mama itakua ni carrierQueen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia.
USSR View attachment 2513463