Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji
Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda.
Ktk maelezo yao wamesema wamewaelekeza wanasheria wao kukusanya ushahidi wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuomba ushahidi kutoka serikali ya Marekani utakaosaidia kumtia hatiani ndugu Makonda.
Itakumbukwa kuwa serikali ya Marekani imempiga marufuku Makonda kukanyaga nchini humo kwa kile ilichokiita " makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi".
My take.
Mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi ktk sheria za kimataifa ana tofauti ndogo sana na gaidi. Tusije kushangaa kuona Makonda akikamatwa na FBI huko Arusha.