Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 129,749
- 249,620
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.
Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.
Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa