Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,009
- 2,470
Ninao ushahidi usioacha shaka kutetea kauli ya Mch Peter Msigwa kwamba Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatumia chama hicho kama saccos binafsi tena ya familia. Na kwamba anatumia Mbowe Foundation kukwiba fedha za chama hicho (ruzuku).
Hata 2010 katika Uchaguzi mdogo jimbo la Busanda aliwaibia chama cha Conservative cha Ujerumani mamilioni ya fedha kwa madai angenunua pikipiki 34 za kampeni matokeo yake yeye na Slaa wakaiba fedha hizo na kuchonga risiti feki Kariakoo kwenye stationary ya mdogo wangu kuwapelekea wazungu. Kifupi nitasimama na Msigwa mwanzo mwisho. Tukutane High Court.
Soma Pia: Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina