Kesho ndiyo siku ya mwisho ku-confirm chuo gani utajiunga kama una multiple allocations. Wanafunzi watarajiwa Do the needful. Msaada please

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,950
82,017
Kesho ndio mwsho wa ku confirm chuo gani unajiunga, short of that unakosa vyoye.

Msaada: Je nikiconfirm kwenda chuo fulani, lkn bado my preference sikuchaguliwa nataka kujaribu second window/round. Je inawezekana nikafanya application?
 
Kwa nini umechangua vyuo ambavyo hutaki kwenda, sijui kama inawezekana ila usingechagua vyuo au kozi ambazo hutaki, huoni umewazibia riziki wale ambao walitaka ila nafasi zikajaa.
 
sijakuelewa,kesho ndio mwisho wa kuconfirm na ndio mwisho wa second window admission,nadhani wakishafunga hiyo kesho itabidi usubiri round three
 
Kwetu wana methali imasema kuliko kuishi bila mke, afdhali kuoa hilo hilo lenye tabia chafu! ndiyo kinachotokea katika habari za preferences!

Mwaka huu vijana walifaulu sana. Kijana yuko jeshini, tukamchagulia kozi anazopenda zenye ushidani, akakosa. Tukaweka tahadhali ya kozi zaidi out of her preference. Hizo kapata. lkn kweli hazitaki. kamakuna uwezekano wa kuomba second round bila kuathiri confirmation, anataka ajaribu tena.
 
Uko sahihi. Je ninaweza ku confirm na hapo hapo nikaomba second round (leo naweza omba) kuona kama nitapata my preference
 
Kwetu wana methali imasema kuliko kuishi bila mke, afdhali kuoa hilo hilo lenye tabia chafu! ndiyo kinachotokea katika habari za preferences!

Mwaka huu vijana walifaulu sana. Kijana yuko jeshini, tukamchagulia kozi anazopenda zenye ushidani, akakosa. Tukaweka tahadhali ya kozi zaidi out of her preference. Hizo kapata. lkn kweli hazitaki. kamakuna uwezekano wa kuomba second round bila kuathiri confirmation, anataka ajaribu tena.
oooh nimekuelewa kwa kuwa kesho ndio mwisho wa dirisha la pili itabidi leo anadelete admission kwenye vyuo husika alipochaguliwa alfu anaomba upya vyuo.Maana akijaribu kuomba bila kudelete admission mfumo utamkataa,lakini tahadhari ni moja kesho ndio mwisho kama ataweza asubiri round ya tatu
 
JE AKI CONFIRM CHUO ALICHOCHAGULIWA, ANAWEZA TENA KUOMBA DIRISHA LA PILI AU LA TATU ILI ABAHATISHE KAMA ATAPATA KOZI ANAYOIPENDA MAANA ROUND ONE HAKUPATA
 
Sidhani kama inawezekana,maan ukishaconfirm mean umekubali kuwa kusajiliwa chuo hicho,uwez kuomba chuo kingine ukakubaliwa maana umeshadhibitisha chuo husika
 
Ajiondoe/afute admission kote aliko kubaliwa kisha aombe tena.Akiendelea kubaki kwenye mfumo wa chuo chochote,hataweza kuomba tena maana itaonekana tiyari yupo admitted...!
 
Kwetu wana methali imasema kuliko kuishi bila mke, afdhali kuoa hilo hilo lenye tabia chafu! ndiyo kinachotokea katika habari za preferences!

Mwaka huu vijana walifaulu sana. Kijana yuko jeshini, tukamchagulia kozi anazopenda zenye ushidani, akakosa. Tukaweka tahadhali ya kozi zaidi out of her preference. Hizo kapata. lkn kweli hazitaki. kamakuna uwezekano wa kuomba second round bila kuathiri confirmation, anataka ajaribu tena.
Hili kosa utakuja kujuta either ukiwa chuo au ukiwa umemaliza.
 
Kesho ndio mwsho wa ku confirm chuo gani unajiunga, short of that unakosa vyoye.

Msaada: Je nikiconfirm kwenda chuo fulani, lkn bado my preference sikuchaguliwa nataka kujaribu second window/round. Je inawezekana nikafanya application?
Akiconfirm amejifunga. Akiomba tena rekodi zitaonyesha alisha chaguliwa. Lakini zaidi ya hapo binafsi naamini ukikosa preferences zako raundi ya kwanza inakuwa vigumu raundi zifuatazo.
Ushauri wangu aamue katika selections alizopata ipi ina afadhali kwake aconfirm hiyo. Lakini hii ni tz anaweza bado akaomba tena lakini asidelete kama wanavyo shauri, maajabu yaweza tokea.
Mwisho kabisa ana confirm na kwenda chuo halafu aombe transfer ndani ya chuo au chuo kingine wakati wa transfer window, sio rahisi kufanikisha lakini hufanyika. All the best.
 
asante ana. ngoja nimpe hii taarifa
 
Sidhani kama inawezekana,maan ukishaconfirm mean umekubali kuwa kusajiliwa chuo hicho,uwez kuomba chuo kingine ukakubaliwa maana umeshadhibitisha chuo husika
nadhani uko sahihi and this is in agreement with my thinking...
 
Mkuu, akisha confirm it means amekubali kujiunga so hawezi kuomba Tena chuo kingine.

Na akisema afute admission za multiple selection akiomba Tena round ya tatu Kuna uwezekano akakosa though vyuo alivyoapply mwanzo vitaonesha kuwa alishawahi kuomba akachaguliwa Ila akawapiga chini so watambania.

Ushauri wangu, check kozi anayohitaji katika chuo kimoja wapo ambacho wamemchagua Ila Kwa kozi nyingine so wapigie simu office za admission ongea nao uwaulize Kama Kuna uwezekano wa kumbadilishia kozi akishaconfrim kozi iyo waliyomchagua sababu sio best choice yake.

Mimi nilifanya kumuombea dogo ivyo tukafanikiwa chuo cha SAUT
 
Back
Top Bottom