Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,888
- 16,950
Maisha mafupi kama inamfurahisha acha atazame.Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nmekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake.
Maana ananisaidia pia huko hotel nisilale na vicheche. Tumekula tumemaliza. Mlo wenyewe tunaanza kula saa nne. Kweli? Tumemaliza nadhani tutapata wasaa wa kuongea mambo ya maana jamaa ndo anawasha TV kuangalia Tamthiliya ya Azam. Yaani aibu nmeona mi.mj.
Jamaa amekuwa fala,bwege na kanjanja sana. Anaangalia tamthiya za Azam. A michezo ya kinjing.
Ukizani baada ya kula atakwambia twende kugonga gambe?Jamaa yangu zamani alikuwa vizuri tu kichwani. Mnakaa mnaongea mambo ya akili. Nmekuja mkoani kaniomba nisifikie lodge nifikie kwake. Nikasema huyu mwana toka kitambo ngoja nifikie tu kwake.