Kesho naenda kongo DRC na pikipiki

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu napenda kuwajulisheni kuwa kesho asubuhi nitaondoka kwenda Kongo DRC kwa usafiri wa pikipiki Honda.

Nategemea maombi yenu wakuu.
 
USISAHAU KUTUPIA PICHA KIDOGO UKIFIKA MIKUMI! WEWE JAMAA SIDHANI KAMA UKO SAWA UPSTAIRS! NA VIJISTORI VYAKO HIVI KILA SIKU
 
hahahhaaa bhana weee na story zako za safari daily...hio safari unaizania wapi? Unaanznia huko huko Kongo au Mbeya, au Dar au Kuzimu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…