kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,782
- 22,100
Wewe unajua kweli mpira, Hasa inapofika hatua ya knockout stage? Hata bayern Munich alimfunga atletico madrid lakini timu ipi iliyotolewa? Knockout stage mafanikio sio kushinda bali ni kuvuka hatua inayofuata.Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
Sio kufa kiumeKwa aina hii ya mashabiki mbumbumbu, mikia fc MNA safari ndefu sana.
Toka muanze kusafiri mmewahi fika wapi ?Kwa aina hii ya mashabiki mbumbumbu, mikia fc MNA safari ndefu sana.
Hilo mwenyewe chura wa jangwaniHiloooo limeumbuka limkia la matopeni fc
Hawatakutana na waarabu lakini huko mbele ya safari?Mkuu si Aggregate YANGA 2: ANGOLA 1. YANGA wamesonga mbele www
Warabu dawa yao NGOMA kuwa fiti. Zamu hii lazima ulimi uwatoke nje warabu.Hawatakutana na waarabu lakini huko mbele ya safari?
wamekufa kiume goli 1Mkuu nijuze wamepigwa au
Tatizo hatujui mbele kama kuna Abdallah heluwa ama vp?Kufa in Kufa tu hakuna kiume wala kike
Kipara bado una safari ndefu sana katika kuujua mpira....acha maneno ya kwenye kahawawamekufa kiume goli 1