Kesho April Mosi mjiandae kusikia habari hii

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
48,957
151,032
Ni katika magazeti ya kesho

Heading: Hatimae Mkulu atengua uteuzi wa Bashite.

usisahau kesho ni siku ya wajinga duniani hivyo uwe makini na habari za kesho.


Pro-UKAWA kama hiyo habari itaandikwa,usihangaike kuileta hapa Jukwaani.
 
Mmhhhh......huwezi jua wanapeana hawa mabashite wawili.
Tusubiri lkn hapangiwi wa kuteua na kutengua
 
Hata hivyo, Inyeshe Mvua, Liwake Jua, Hawezi kumtengua, ndiyo Think Tank wake!

Halafu naomba kuuliza, Bashite ni Msukuma Kweli?

Hana chimbuko la Kinyarwanda?
 
Kesho lazima nikomeshe mabichwa kama matatu ya sisiem asubuhi na mapema!
Majinga sana haya..
Nasema lazima walie!
 
Wamesema hawataandika habari zake Bashite, nadhani hata kesho siku ya wajinga pia hawataandika.
 
Mods baada ya leo Fools day atakuwa na kazi ya kufafisha servers maana litakuwa limejaa uchafu kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…