KERO Kero ya usafiri wa mabasi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Bruno Jewel

New Member
Sep 28, 2023
4
2
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et gari ilipita saa 11: 20 kwa hiyo nitapakiwa kwenye gari jingine.

Hivi hakuna njia au sehemu ya kuripoti haya matatizo ya abiria ikiwezekana hawa watu wawe wanachukuliwa hatua za kisheria.
 
Tanzania abiria hana thamani maana rushwa imetamalaki sema kwa hiyo safari usikate Tiketi Bus lolote tafuta yale makongwe na Njia kama ABC,Abood na mengineyo hautakuja kupata tatizo kama hilo wanajali sana muda..
 
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et gari ilipita saa 11: 20 kwa hiyo nitapakiwa kwenye gari jingine.

Hivi hakuna njia au sehemu ya kuripoti haya matatizo ya abiria ikiwezekana hawa watu wawe wanachukuliwa hatua za kisheria.
Mbona unawashik vzr , ulipaswa ulipofk kwenye ofisi zao u keep time record ya ushahid kuw ulifk kwa wakat hvyo, lakn pia track system ya rada itaambua gari ilikuwa wap kwa wakat huo
 
Kuna kampuni za uhakika, sio kila kampuni ya bus ina weledi,
Huyo njia ungepanda ABC, hawana ubabaifu.
 
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et gari ilipita saa 11: 20 kwa hiyo nitapakiwa kwenye gari jingine.

Hivi hakuna njia au sehemu ya kuripoti haya matatizo ya abiria ikiwezekana hawa watu wawe wanachukuliwa hatua za kisheria.
Toa taarifa LATRA
 
Mbona unawashik vzr , ulipaswa ulipofk kwenye ofisi zao u keep time record ya ushahid kuw ulifk kwa wakat hvyo, lakn pia track system ya rada itaambua gari ilikuwa wap kwa wakat huo
Tracking system pekee inatosha. Kitendo cha basi kutokuwepo stendi saa 12 asubuhi wakati wa kuondoka kinatosha kuwa ushahidi. Ishu, je! wahusika wa hiyo system watakubali kumkaanga mtu wao?
 
Tracking system pekee inatosha. Kitendo cha basi kutokuwepo stendi saa 12 asubuhi wakati wa kuondoka kinatosha kuwa ushahidi. Ishu, je! wahusika wa hiyo system watakubali kumkaanga mtu wmkuu.
Si swala la wao kutak au kutokutana ni swala la order ya mahakama tuu ,
Na technology haidanganyi , kama uko na muda anzisha hilo kk kuna ela Apo ,

Au kaa nao mezan waambie unatak wabuluze mahakama kama watashindwa kukulpa 10million
Tracking system pekee inatosha. Kitendo cha basi kutokuwepo stendi saa 12 asubuhi wakati wa kuondoka kinatosha kuwa ushahidi. Ishu, je! wahusika wa hiyo system watakubali kumkaanga mtu wao?
Watakuita mmalizane kikubwa
 
Back
Top Bottom