Kero soko la mitumba Karume

ICT OFFICER

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
235
299
Habarini wadau.

Kuna kitu huwa kinanitokea kila ninapokwenda soko la Karume Dar Es salaam.
Nimekuwa nikienda kununua nguo, viatu na mabegi kwa muda mrefu tu.... kero inakuja pale unapokuwa unachagua bidhaa yeyote tajwa hapo juu wahuni/madalali/wapiga debe wanakuja wanaanza kukuchagulia kwa nguvu kuhu wanaweza hata kukupatia kiatu cha kike & wakakusifia umependeza...... issue ni pale utapoghahiri usinunue wanaweza kukuzingua, pia utakapoa amua kukunua wataanza bei ya juu sana kwa kuweka cha juu.

Mfano: leo baada ya miangaiko yangu ya siku, niliamua kwenda karume kutafuta kiatu cha mitumba cha kawaida tu.... hao wahuni walikuja kama 4 wakaanza kunisaidia kuchagua, nikafanikiwa kupata kiatu, nikauliza bei wakaanza 65,000, sikubishana nao sana maana nilikuwa serious nimenuna nikawaambia chukueni 20,000 kama hawatakia basi. Wakaanza kunizingua nikawapiga mkwara mzito sana... wakanieshimu ghafla wakachukua hizo pesa kiroho safi tu.

Issue ni hao wahuni wanaoingilia biashara za watu na kuvuruga wateja ni kero sana....

Hadi nimejisemea moyoni siendi tena karume kununua kitu.... bora niende manzese au soko jingine.

Unaweza kuuziwa kitu cha 10,000 kwa bei ya 45,000.

Pia na wafanya biashara wajitahidi waache kuruhusu hawa watu kuweka chajuu sana.
 
karume pale haupaswi kuonea huruma muuzaji, shusha bei wanayokutajia bila huruma watajie yako halafu ndio muanze kupangana , wamekaa kitapelitapeli sana wapumbavu wa pale, wezi wa bei
 
Inatakiwa ujue lugha yao. kama dalali akikuungia mkapatana bei fulani let's say 20 basi utasikia anamuuliza mwenye mali vipi 40 inalipa. Ukisikia 40 gawanya kwa mbili unakuwa hiyo 20 mliokubaliana
 
Back
Top Bottom