Kenya wanampambania Nduta asinyongwe Vietnam Vs TZ tupambanie Janabi ashinde WHO Africa

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
2,362
3,259
1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue.

2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
 
Janabi kushinda sio rahisi kwasababu yale mambo ya uhusiano wake na yaliyo mpata Jiwe yamesambaa Dunia nzima!! Mtapoteza hela zenu bure ; hiyo nafasi atapewa mtu anaezungumza kifaransa!
 
DRC wanamuhonga marekani trump ili aje kuwapiga Warwanda...

Africa !! 😞😞😞
 
Back
Top Bottom