Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,038
- 4,752
Ukimsikiliza Rais wa Kenya anavyochambua uchumi na mipango ya kupanua ajira unabaini hotuba yake imeandikwa na wataalam kwa kuzingatia presha kubwa iliyopo kwenye vyama vya wafanyakazi.
Pamoja na kwamba hakuna ahadi kubwa wanayopata wafanyakazi Kenya kulinganisha na Tanzania ila vyama vya wafanyakazi vimejipanga katika kupigania mambo makuu matatu
1. Kupigania haki ya maslahi ya wafanyakazi
2. Kupigania sheria zinazofanya haki itendeke na mfanyakazi aweze kuishtaki serikali au mwajiri
3. Wanapigania kuachana na uchawa
Hali hii utaiona wakati wa hotuba zao na namna wanavyojadili kwenye vyombo vya habari usiku huu. Tanzania hakuna mjadala wala uwasilishaji wa hoja unaoonyesha seriousness
Mwisho, mishahara Kenya imepanda kwa 6% sijui Tanzania itapanda kwa asilimia ngapi mama akisema