Je waingereza wangeliamua kuharibu miundo mbinu yote waliyoijenga kenya hasa nairobi kama wareno na wafaransa kwenye baadhi ya makoloni.hawa manyang'au wangekuwa vipi yaani? tutafakari kidogo.
Nilisikitika sana mpuuzi mmoja wa kenya kuwaita madaktari wetu eti ni low rated doctors na baadhi ya watanzania wenzetu kumpigia vigeregere kisa ni wao ni wamlengo wa chama fulani wakipata furaha zaidi waonapo nchi inapokabiliwa na matatizo kwa kisingizio cha kuokomoa serikali iliyopo madarakani na kusahau kuwa kuna baadhi ya mambo inabidi itikadi ziwekwe pembeni kabisaa.hii ilinipelekea kutuliza akili na kuanza kuwaza na kuwazua.
Niwambieni tu wakenya ni wepesi sana.zaidi ya kujivunia kuijua vizuri lugha ya mkoloni wao hapo nawapongeza kwa hilo tu.lakini kwa vingine naona tumeanza kuwapumlia pumzi mgongoni.
By Bepari la Bariadi