Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,681
3,702
Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama kutokana na maandamano ya kupinga Financial bill

Lakini baadae miili mingine 8 inakuja kugunduliwa na yote ni ya wanawake. Pia nayo raia wanaihusianisha na maandamano na wananchi wanafura hasira wakitupia serikali polisi kua ndio inahusika lakini safari hii serikali inataka kujinasua kudhibitisha haihusiki na miili hii, hivo wanatakiwa wafanye haraka kabla hasira za Gen Z hazijapamba moto

Upelelezi wanaingia kazini lakini wanachokipata si kile walichokitegemea.
Wanakuja kugundua wanawake wote hawa walikua wanauliwa na kijana anaitwa COLLINS JUMAIS! KHALUSHA. Alipohojiws alikiri alianza kuwaua baada ya kumuua mke wake kwanza.
Yote haya alitekeleza ndani ya miaka miwili na kukamilisha watu 42.
Swali ni je
Huyu muuaji aliweza vipi kuua watu wote hawa bila kujulikana??
Muuaji anaakili gan ya ziada kuwashinda usalama?
……….
Kama anaweza isingekua haya maandamano basi muuaji angeweza kufikisha idadi kubwa zaidi??
Ni wauaji wangap wa aina hii wanaoua na bado hawashikwi?

MUENDELEZO…..
Muuaji wa Kware, adai alilazimishwa na police kukubali tuhuma za kuwaua wanawake 42.
sorce: NTV Kenya

View: https://youtu.be/D2t3O7B2T5s?si=apOEXOrPH1Bnefqx
 
Attachments

  • 0FB0B382-CA16-418E-A474-8D800756D766.jpeg
    0FB0B382-CA16-418E-A474-8D800756D766.jpeg
    871.7 KB · Views: 2
  • A0F868F3-E13F-4357-B07F-99AB21A5B49F.jpeg
    A0F868F3-E13F-4357-B07F-99AB21A5B49F.jpeg
    2.3 MB · Views: 2
Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama kutokana na maandamano ya kupinga Financial bill

Lakini baadae miili mingine 8 inakuja kugunduliwa na yote ni ya wanawake. Pia nayo raia wanaihusianisha na maandamano na wananchi wanafura hasira wakitupia serikali polisi kua ndio inahusika lakini safari hii serikali inataka kujinasua kudhibitisha haihusiki na miili hii, hivo wanatakiwa wafanye haraka kabla hasira za Gen Z hazijapamba moto

Upelelezi wanaingia kazini lakini wanachokipata si kile walichokitegemea.
Wanakuja kugundua wanawake wote hawa walikua wanauliwa na kijana anaitwa COLLINS JUMAIS! KHALUSHA. Alipohojiws alikiri alianza kuwaua baada ya kumuua mke wake kwanza.
Yote haya alitekeleza ndani ya miaka miwili na kukamilisha watu 42.
Swali ni je
Huyu muuaji aliweza vipi kuua watu wote hawa bila kujulikana??
Muuaji anaakili gan ya ziada kuwashinda usalama?
……….
Kama anaweza isingekua haya maandamano basi muuaji angeweza kufikisha idadi kubwa zaidi??
Ni wauaji wangap wa aina hii wanaoua na bado hawashikwi?
Mkuu ukitaka kujua haya mambo kuwa kwa Kenya si ya leo tazama kipindi kinaitwa the last door kiko channel 158 na 163 DSTV cha Kenya. Haya masuala ya watu kuokotwa kwenye viroba ni ya kawaida kabisa na suspect huwa hawakamatwi.
 
mfano hapo police walikua pressured kufanya uchunguzi wa haraka kwa sababu watu walikua wanahusianisha na maandamano,
ikabid wajitahidi kucome clean
 
Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama kutokana na maandamano ya kupinga Financial bill

Lakini baadae miili mingine 8 inakuja kugunduliwa na yote ni ya wanawake. Pia nayo raia wanaihusianisha na maandamano na wananchi wanafura hasira wakitupia serikali polisi kua ndio inahusika lakini safari hii serikali inataka kujinasua kudhibitisha haihusiki na miili hii, hivo wanatakiwa wafanye haraka kabla hasira za Gen Z hazijapamba moto

Upelelezi wanaingia kazini lakini wanachokipata si kile walichokitegemea.
Wanakuja kugundua wanawake wote hawa walikua wanauliwa na kijana anaitwa COLLINS JUMAIS! KHALUSHA. Alipohojiws alikiri alianza kuwaua baada ya kumuua mke wake kwanza.
Yote haya alitekeleza ndani ya miaka miwili na kukamilisha watu 42.
Swali ni je
Huyu muuaji aliweza vipi kuua watu wote hawa bila kujulikana??
Muuaji anaakili gan ya ziada kuwashinda usalama?
……….
Kama anaweza isingekua haya maandamano basi muuaji angeweza kufikisha idadi kubwa zaidi??
Ni wauaji wangap wa aina hii wanaoua na bado hawashikwi?
Afrika vyombo vya dola vipo kwa ajili ya kulinda matajiri na watawala.
Maskini anaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu
 
Uongo tupu.

Hiyo ni Spinning Propaganda inayofanywa na Wafuasi wa Rais William Ruto na Utawala wake ili kuwazuga Raia hususani Vijana wa Gen Z ili kuwapunguzia hasira wasiweze kuuangusha Utawala wake ambao upo umekalia kuti kavu kwa sasa. Hao Polisi na Wapelelezi waliohusika ktk kufanya huo upelelezi uchwara ili kumsafisha Rutto na Utawala wake ili usiondolewe madarakani na vijana wenye hasira kutokana na ugumu wa maisha
 
Uongo tupu.

Hiyo ni Spinning Propaganda inayofanywa na Wafuasi wa Rais William Ruto na Utawala wake ili kuwazuga Raia hususani Vijana wa Gen Z ili kuwapunguzia hasira wasiweze kuuangusha Utawala wake ambao upo numekalia kuti kavu kwa sasa.
Kwaiyo hao wanawake wote nani kaua?? au taarifa imetiwa chumvi
 
Back
Top Bottom