Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

Mejasoko

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
298
595
Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje?

Ndipo napata jibu kuwa
"Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika"

Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo nyingi zaidi kwa mwaka mmoja na angefungana na Jay z na Kayne West kwa idadi ya tuzo 24 kila mmoja Sasa Kendrick ana 22, na pia analingana na rekodi ya Lauren Hill ya tuzo 5 kwa mwaka mmoja (1998), ukumbuke kilichombeba Lauren Hill ni album Ile ya "Miseducation of Lauren Hill" so nikija kucompare na Kendrick naona Kendrick angekua mbali zaidi kituzo kama album yake ingukuwa included.
 

Attachments

  • Screenshot_20250204-111721.jpg
    Screenshot_20250204-111721.jpg
    296.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom