A
Anonymous
Guest
Kelele za matangazo zimekuwa kero na zinaongezeka siku hadi siku katika maeneo ya makazi. Ubaya wa matangazo haya hayajari muda wa kupita.
Asubuhi na mapema kuanzia saa kumi na moja na nusu magari ya matangazo yanaanza kupita. Mtu hujaamka unaamshwa na matangazo hayo. Mbaya zaidi matangazo hayo hayana mpangilio wa sauti yanatangazwa utadhani ugomvi. Gari likipita hadi watoto wadogo wanashtuka usingizini.
Mamlaka husika tunaomba zitupe muongozo wa kelele hizi za matangazo.
Pia soma ~ Magari ya Matangazo Mbeya Jiji hayazingatii Usiku wala Mchana, imekuwa kero sasa