Wanatuletea misaada ya zana za kulia keki hiyo, tukikwaruzana kidogo tunazitumia zana hizo kupigana, na wakati tupo busy kupigana, waliotupatia zana wanaikata keki hiyo na kusepa
Eeeh, kwanza (1) mnachonganishwa kwa fitina na wachache wenye tamaa (2) pili mnakkabana koo na kugombana nyie kwa nyie ...Mkitahamaki Rasilimali imeshanyakuliwa zamannnii!!\
@ Code Breaker