technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,632
- 51,824
Mimi ni mtu najiusisha Sana na sector ya ujenzi na muda mwingi nakuwa field yaani kwenye mazingira ya kazi.
Kumekuwa na dhana ya wanasiasa kuwaambia vijana fanyeni kazi Mimi najiuliza hizo kazi zipo wapi?
Kwa siku napokea vijana wanaoomba kazi kwenye mizunguko yangu sio chini ya 3 wapya lakini uwa siwezi kuwachukua kwa sababu unakuta nimejaza sehemu zangu za kazi.
Sasa najiuliza Kama kazi tu za vibarua zinakosa na vijana wanashinda field wanatafuta serikali na watu wengine wanaowatukana vijana kwamba ni wavivu wamefanya research au kwa vile vijana hawana access ya kuwafikia Viongozi Viongozi hawajui?
Mtaani hakuna kazi hata ya kumenya viazi vya chips Kama hauna connection!