LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,663
- 31,355
Utamsikia mtanzania anaziponda shule za Kayumba akisema " Shule za Kayumba hazifai kwa sababu kuna watoto wengi sana"
Nabaki najiuliza hivi huyu mzazi ana fahamu chochote kuhusu saikolojia ya watoto?
Anafahamu kuhusu umuhimu wa stage ya kimaisha ya mtoto iitwayo" Childhood"?.
Anyway mtaelewa tu.
Ni hivi; katika maisha ya mwanadamu hakuna kipindi muhimu kwake kama kuanzia mwaka 0 hadi 13( kwa wengine inakwenda hadi kumi na 4 na kumi na 5 kulingana na namna ambavyo atawahi kubalehe au kuvunja ungo)
Kipindi hicho ndio kinajulikana kama ๐๐๐๐
CHILDHOOD.
Hiki ni kipindi bora kabisa katika maisha ya mwanadamu kwa sababu ndicho kipindi pekee ambacho mwanadamu anaishi maisha yake to the fullest.
Hiki ni kipindi ambacho mtoto anatakiwa kuyafurahia maisha yake kwa kiwango cha juu kabisa kwa sababu akisha balehe au kuvunja ungo na kuanza " kuyaishi" maisha ya kubalehe na/ama kuvunja ungo to its fullest, atakutana na mfumo mpya wa maisha ambao hau mgarantii kuishi maisha ya furaha to the fullest.
Mfumo wa maisha alioishi akiwa na miaka 0 hadi 13 ( 14/15) utapinduliwa na utakuwa replaced na mfumo mpya wa maisha ya ulimwengu na walimwengu ambao ataenda nao kwenye maisha yake yote.
Ndio maana huwa ninamchukia sana mtu anae wanyanyasa watoto wenye umri huo ( 0-13) kwa sababu anakuwa ana warob with their childhood.
Duniani kote watu wengi hutaja kipindi cha mwaka 0 hadi 13 kama nyakati bora kabisa katika maisha yao.
A lot of people who had lived their childhood to its fullest will be ready to pay millions of money to go back to that part of their life-time.
Ndio maana hata sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati na mwishoni na kaka zetu waliozaliwa miaka ya 70 katikati na mwishoni, tukiendaga kwenye sehemu zenye mikusanyiko ya watu kama vile bar nakadhalika halafu zikapigwa nyimbo za kina Pepe Kale na Kanda Bongo Man, basi huwa tunapataga mizuka sana kwa sababu hizo nyimbo huwa zinatupa hali inaitwa Nostalgia. Inatupa kumbukumbu za nyakati zetu bora kabisa za utotoni.
BACK TO KAYUMBA NA IDADI KUBWA YA WATOTO
Saikolojia ya watoto inaelekeza kwamba watoto huwa wanakuwaga na furaha zaidi pindi wanapokuwa wamejumuika na watoto wengi na sio wachache.
Watoto huwa wana enjoy zaidi wanapokuwa katika mazingira yenye watoto wenzao wengi.
Kwa sababu watoto wanapenda sana michezo , kuchanganyika na kuchangamka, So wanapokuwa wengi zaidi hufurahi zaidi kwa sababu michezo huwa mingi na watoto wa kucheza nao huwa wengi zaidi.
Babu zetu walilijua hili ndio maana zamani walioa wanawake wengi ambao walikaa kwenye boma moja ili kuwe na watoto wengi wa kucheza pamoja.
Kama hiyo haitoshi, babu zetu waliishi as extended families kwenye boma moja.
Ndio maana sisi huku mjini, siku za Christmass na Eid huwa tunawapeleka watoto wetu sehemu kama vile pale Mlimani City kwenye mabembea, Beach nakadhalika ili wajumuike na watoto wenzao wafurahi kwa pamoja.
Hali ya kuenjoy kwenye mikusanyiko watu wengi haipo kwa watoto tu bali hata watu wazima.
Sehemu yenye watu wengi ndo huwa inakuwaga na vibe.
Ndio maana huwa tunaenda kwenye bar na kumbi za starehe zinazo trend hapa mjini ambako kuna watu wengi.
Hata kwenye bar za mtaani huwaga tunaenda kwenye bar ambazo siku hiyo kunakuwa na watu wengi.
Hata mechi za Simba na Yanga ili ziwe na msisimko zinahitaji kuwa na watu wengi.
Ndio maana kina Haji Manara huwaga wanapiga kampeni watu wakaujaze uwanja ili kutengeneza vibe.
In fact, kukaa sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi ni tiba nzuri sana ya kisaikolojia. Mifano kukaa bar hasa na watu mnaofahamiana, kwenye vijiwe vya kahawa nakadhalika.
Kwa hoja hiyo hapo juu๐ shule za Kayumba ni bora zaidi kwa watoto kwa sababu zinawapa watoto guarantee ya kuishi maisha yao ya utoto, to the fullest.
Kwanini? Kuna watoto wengi. Watoto wengi = michezo mingi, option nyingi za watoto wa kucheza nao.
Unlike kwenye shule za EM. Shule nyingi za EM zina wanafunzi wachache sana. Na wengi wanazidi kupungua kwa kasi ya 5G kwa sababu wazazi wameanza kujanjaruka wanawarudisha watoto wao shule za Kayumba kwa wingi sana.
Darasa lina watoto wa8 tu au 15.
Hao ni watoto wachache sana kwa mtoto kuenjoy maisha yake ya utoto. Kunakuwa na upweke wa hali ya juu kwa mtoto. Unamdhulumu mtoto wako with his childhood.
Unaanza kumpa sonona tangu akiwa mtoto mdogo.
Mtoto anatakiwa kuwa katika mazingira yenye watoto wengi wanapokuwa katika umri huo. Huko atacheza pia atajifunza kwa observe kupitia watoto wenzake.
Mazingira lazima yawe busy na yaliyo changamka. Mwalimu akisema " sema a,e,i,o,u"
Zile sauti zinazo itikia kwa bashasha , zinatakiwa kuwa nyingi zaidi ya 50. Hayo ni baadhi ya mambo yanayo changamsha pia ubongo wa mtoto. Watoto wakiwa wanaimba nyimbo za shuleni au darasani ile vibe ni jambo linalo ichangamsha sana akili ya mtoto.
Pia, mtoto kusoma na familiar faces kuanzia la kwanza hadi la saba ni jambo linalo jenga ubongo na nafsi ya mtoto kwa kiwango cha juu sana, kwa sababu linamgarantii mtoto na kitu kinaitwa " partners in games & playing "
Yani anakuwa na garantii na marafiki anaocheza nao au wanafunzi anaosoma nao kwa miaka 7 zaidi. Anasoma na wenzake ambao wote wanatoka mtaa mmoja , kata moja, anapajua nyumbani kwa baadhi ya marafiki zake au wanafunzi wenzake and voice versa, baadhi ya wazazi wanafahamiana, watoto wanajuana na wanaweza kukutana nje ya shule pia etc..
In addition to that mtoto pia anakuwa na garantii ya kuwa anaona sura zile zile za waalimu kuanzia la kwanza hadi la saba.
Na hii ni kwa sababu walimu shule za Kayumba huwa hawamishwi hamishwi hovyo.
Mambo haya muhimu, mtoto hawezi kuyapata kwenye shule za Ems kwa sababu: ๐๐๐๐๐
1. Walimu wana hama shule kila leo kwa sababu hawalipwi mishahara yao kwa wakati au baadhi ya shule kuibiana walimu baada ya wanafunzi kufanya vizuri. So somo moja anaweza kufundishwa na walimu wa4 ndani ya mwaka mmoja. Jambo hili sio sawa hata kidogo kwa afya ya akili ya mtoto. Lina mchanganya mtoto.
2. Mtoto anakuwa hana garantii ya kumaliza shule na marafiki alio Anza nao la kwanza kwa sababu: ๐๐๐
Watoto kwenye shule hizo kila siku wana hamishwaga . Eidha wana hamishiwa shule zingine za Ems au wanarejeshwa Kayumba. Hali hii humuathiri sana mtoto kisaikolojia kwa sababu hao wanao hamishwa wengine wanaweza kuwa rafiki zake ambao amezoea kucheza nao.
In addition to that, mtoto anakuwa hana garantii ya kucheza na rafiki zake kila siku kwa sababu watoto wengi shule hizo huwaga wanakaaga nyumbani muda mwingi kwa sababu ya wazazi kukosa ada..
MUHIMU SANA; ๐๐๐๐
KUMBUKA KUWA, SHULE KWA MTOTO WA MIAKA 0 HADI KUMI NA 3 SIO KWA AJILI YA KUMUANDAA KUWA DOKTA AU INJINIA AU MWANASHERIA AU PILOT, BLAH BLAH BLAH.
SHULE KATIKA UMRI HUO NI KWA AJILI YA ;๐๐๐๐
1. MTOTO KUKUA ( MTOTO ANATAKIWA KUKUA KWA FURAHA)
2. KUJIFUNZA VITU VYA MSINGI KAMA VILE KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA, KUJUA KUHESABU, KUJUA HISABATI, BASIC GEOGRAPHY etc NA PIA KUPATA MSINGI WA LUGHA YA KIINGEREZA AMBAO UTAMSAIDIA KUSOMA VIZURI SEKONDARI n.k
Vitu vyote hivyo anatakiwa kujifunza kwa lugha mama yake na vyote anaweza kuvipata kwa ubora zaidi kwenye shule za Kayumba.
Haina haja ya kumtesa mtoto huyu kwa kumlazimisha kuamka saa kumi na moja kasoro alfajiri kila siku, kwenda shule na begi kubwa la madaftari na kurudi saa kumi na moja eti kwa lengo la kumuandaa aje awe Doctor au INJINIA. Kwanza amekwambia anataka kuwa hivyo unavyo taka awe? Au umeamua kuwa Selfish? You want him to be you.
Kusoma namna hiyo atakutana nako wakati wake ukifika. Akifika Advance au chuo ndio ataanza kusoma kwa kujitesa hivyo.
Mtoto kama wa darasa la kwanza anatakiwa kwenda shule asubuhi atoke saa4 au saa4 atoke saa nane. ( Wasaa4 makombo wa asubuhi Hoye Hoye)
Haina haja ya kumtesa mtoto wako kwa upweke kwa kumnyima haki yake ya kuishi maisha ya utoto ( Childhood) to the fullest.
PELEKA WATOTO WAKO KAYUMBA HARAKA SANA.
#MAKING KAYUMBA SCHOOLS GREAT AGAIN CAMPAIGN