chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 9,319
- 19,993
Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli.
Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale serikali na chama kilichopo madarakani zitakapo kuwa zimekosea.
Kitendo cha Amos makala kutoa kauli kwamba CHADEMA wataleta ugonjwa kuharibu uchaguzi ingekuwa kauli hiuo katoa Chadema asubuhi si mbali Jeshi la polisi lisha muita mirrad ayo,wizara ya afya ishatoa barua,wakuu wa mikoa wasijulikana washaita media kuwa watalinda mkoa wao na magonjwa.
Ni wazi kuwa makosa mnayofanya japo mnajifanya kuwa sio wahusika mnajisahau mkiya sema