Kauli za Mkuu wa Nchi, washauri wake wapo wapi?

WAMARA

Member
Oct 21, 2016
11
8
Wanajamvi!

Napenda kufahamu hivi ni kweli kuna washauri wa Rais? Zipo baadhi ya kauli ambazo zimetoa taswira mbaya kama nchi, je ni kweli kuna washauri wa Rais? Na wanafanya kazi ipasavyo?

Nawasilisha kwa hatua zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…