Torra Siabba
Senior Member
- Jul 24, 2016
- 169
- 185
Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha
Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Lakini juzi hapa Tabora nilienda kujiandikisha kwenye moja ya kituo.. nilichogundua ni kwamba afisa wa uandikishaji anaweza kukaa mpaka saa nne hajapata mtu wa kumuandika hii inamaanisha nini?
Nilipongea na huyo mhudumu kuhusu hali ya watu kujitokeza kujiandikisha, alisema hali ni mbaya sana kwa siku anaweza kuandikisha watu wawili hadi watatu na tangu aanze uandikishaji hajafikia idadi ya watu 150 jambo ambalo ni hatari..
Nikazunguka tena kituo kingine nikakuta vituo kama nitatu ni vyeupe.. hakuna wanaoenda kujiandikisha kwahivyo zoezi hali ni mbaya sana na watu wamesusa hatari..
Baada ya kuliona hilo nikaenda zangu kwenye kijiwe cha kahawa nikawa nabadilishana mawazo na wenzangu, kuna mzee wa busara mmoja akasema sababu za watu kukosa hamasa ya kujiandikisha ni serikali kuua upinzani wakidhani kwamba wamefanikiwa kumbe hata watu wanachoka kuona wanapelekeshwa..
Zamani Chadema, CCM, CUF, na vyama vingine walikuwa wanahamasisha watu kujiandikisha lakini saivi CCM wao ndio wanaifanya hiyo kazi lakini kwakua mwitikio ni sifuri ndio maana unaona wanacheza rafu za kuandikisha wanafunzi na wale ambao hawajafika muda, watu hawana hata mwamko wowote ndio maana wanachukulia poa.
Sasa iko haja kwa serikali kuepukana na haya mambo ya kuudidimiza upinzani wakidhani wamefaniwa kumbe wanajizika wenyewe.
Kwa ujumla Watu hapa Tabora hawajajiandikisha inavyotakiwa na huenda kwa mkoa mzima wasifike lengo maana watu hawana hata wazo wanamka wanafanya kazi zao hawana muda na kujiandikisha...
Upinzani umejiua wenyewe landa ujui upinzani ni nini ....kama watu wameichoka ccm na hawataki upinzani uliopo wewe unashindwa kujua kuwa ccm na wapinzani wote wamekataliwa na wananchi ....kwa sasa vyama vya upinzani havina tofauti na ccm watu wamevikinai vyote ndiyo maana watu wanashindwa kujiandikisha maana wajiandikishe ili wakachague nani ?Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha
Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Lakini juzi hapa Tabora nilienda kujiandikisha kwenye moja ya kituo.. nilichogundua ni kwamba afisa wa uandikishaji anaweza kukaa mpaka saa nne hajapata mtu wa kumuandika hii inamaanisha nini?
Nilipongea na huyo mhudumu kuhusu hali ya watu kujitokeza kujiandikisha, alisema hali ni mbaya sana kwa siku anaweza kuandikisha watu wawili hadi watatu na tangu aanze uandikishaji hajafikia idadi ya watu 150 jambo ambalo ni hatari..
Nikazunguka tena kituo kingine nikakuta vituo kama nitatu ni vyeupe.. hakuna wanaoenda kujiandikisha kwahivyo zoezi hali ni mbaya sana na watu wamesusa hatari..
Baada ya kuliona hilo nikaenda zangu kwenye kijiwe cha kahawa nikawa nabadilishana mawazo na wenzangu, kuna mzee wa busara mmoja akasema sababu za watu kukosa hamasa ya kujiandikisha ni serikali kuua upinzani wakidhani kwamba wamefanikiwa kumbe hata watu wanachoka kuona wanapelekeshwa..
Zamani Chadema, CCM, CUF, na vyama vingine walikuwa wanahamasisha watu kujiandikisha lakini saivi CCM wao ndio wanaifanya hiyo kazi lakini kwakua mwitikio ni sifuri ndio maana unaona wanacheza rafu za kuandikisha wanafunzi na wale ambao hawajafika muda, watu hawana hata mwamko wowote ndio maana wanachukulia poa.
Sasa iko haja kwa serikali kuepukana na haya mambo ya kuudidimiza upinzani wakidhani wamefaniwa kumbe wanajizika wenyewe.
Kwa ujumla Watu hapa Tabora hawajajiandikisha inavyotakiwa na huenda kwa mkoa mzima wasifike lengo maana watu hawana hata wazo wanamka wanafanya kazi zao hawana muda na kujiandikisha...
Halafu mchengerwa anasema wamefaulu kwa asilimia 90.....tuna akili kweli?Nilipongea na huyo mhudumu kuhusu hali ya watu kujitokeza kujiandikisha, alisema hali ni mbaya sana kwa siku anaweza kuandikisha watu wawili hadi watatu na tangu aanze uandikishaji hajafikia idadi ya watu 150 jambo ambalo ni hatari..
Msije kulalamika kuwa hamjachaguliwa wakati mnahamasisha na kushangilia watu kutojiandijisha
Upinzani umej8ua wenyewe landa ujui upinzani ni nini ....kama watu wameichoka ccm na hawataki upinzani uliopo wewe unashindwa kujua kuwa ccm na wapinzani wote wamekataliwa na wananchi ....kwa sasa vyama vya upinzani havina tofauti na ccm watu wamevikinai vyote ndiyo maana watu wanashindwa kujiandikisha maana wajiandikishe ili wakachague nani ?
Ndio maana tunasema CCM haina tena watu wenye maono, kuna kundi kubwa sana la machawa ndani ya Chama.Msije kulalamika kuwa hamjachaguliwa wakati mnahamasisha na kushangilia watu kutojiandijisha
Nini kifanyike sasaKujiandikisha na kupiga kura ni kupoteza muda wako.
Wawekeze kwa wananchi wape imani wananchi gov system hii imeshafail.Nini kifanyike sasa
Jana nilihudhuria kikao cha wazazi shule ya serikali hapa mtaani (mimi ni mmoja ya wajumbe wa kamati ya shule)Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha