Pre GE2025 Kauli za Kisiasa Makanisani na Misikitini zazidi kuzua mjadala kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
612
1,428
Wakuu,

Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2025.


Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya viongozi wa dini (kanisani na misikitini na shughuli za kidini kwa ujumla)

2025

Januari
Februari
Machi
Aprili

Ramadhan Iftar
 
Back
Top Bottom