Pascal_TZA
Member
- Mar 25, 2014
- 24
- 72
Baada ya Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu kumuachilia huru Dk. wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Wakili wa Dk. Slaa amezungumza kile ambacho kimetokea Mahakamani hapo nakusema hakukua na majadiliano yoyote kati yao na ofisi ya DPP.
“Kesi ilikuwa inakuja kwa ajili ya kutajwa kwa bahati nzuri tulipoingia Mahakamani DPP akatoa taarifa kwamba hana nia ya kuendelea na kesi” Wakili Mwasipu
“Kesi imeondolewa kwa mujibu wa kifungu namba 91(1) cha Mwenendo wa makosa ya jinai kama kilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022 hayo ndio yaliyojili leo” Wakili Mwasipu