Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,677
- 1,615
Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa)
Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye makalio makubwa basi ndiyo utumie pesa kumpata hayo si matumizi sahihi ya pesa ni ulimbukeni tu.
NB
pesa huwekezwa kwenye miradi na ili hata iwe nyingi kivipi isiwe sababu ya kununua au kuifanyia vitu vya kijinga wakati wapo wasio hata na senti🙏
Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye makalio makubwa basi ndiyo utumie pesa kumpata hayo si matumizi sahihi ya pesa ni ulimbukeni tu.
NB