ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,877
- 22,572
Ahmed Ali alitamka kwamba adui wa Simba ni Yanga na wa pili Singida
Kauli hii ni uchonganishi na inazua uhasama usio wa laZima
Yanga na Simba wana upinzani na wala sio uhasama
Upinzani wao ni Wa kimichezo
Ahmed Ali anataka Yanga asiwe na mpinzani wa Simba wakati wako ligi 1 na wanagombea kombe 1
Hapa bila shaka upinzani hauepukiki
Msemaji waliyeajiriwa na taasisi kama Simba kutamka kuwa Yanga ni adui wa Yanga ni kukosa ueledi na ujinga wa kiwango cha juu
Ahmed Ali hawezi kutofautisha upinzani na uadui
Yanga hajawahi kuvamia mechi za Simba kama kurusha mawe au kung'oa vitu
Yanga anachofanya ni kuimarisha timu ya kushindana uwanja
Ahmed Ali ameshindwa kumthibitisha uadui Simba dhidi ya Yanga na Singida
Hizi timu ziangalie kuajiri mazwazwa ambayo yanaweza kuvunja amani ya nchi yetu Kwa kauli za kipumbavu