wote tunajua simu za mkononi zilianza lini na hii picha kwa muangalio wa haraka inaonyesha ni yakitambo, sasa angalia huyo bwana mwenye tai amekodolea macho kwenye simu kama vile anatuma sms.