Kaukweli kanakouma!!

Hahaha!! Haka kaukweli kamegonga utosi...!! Ngoja wadau wenyewe waje kujitetea huku
 
Aisee! tena kaongea mwenyewe,sie hatumo...Njooni wahusika mtuthibitishie!
 
Huyu dada nae chizi tu. Labda hii ni kwa ajili ya kuchekesha manake ndio kazi yake. Hivi password ya simu inahusiana nini na urahisi au ugumu wa kufunua miguu ya mwanamke?
Hii ni simu na huyu ni binadam. Huku ana protect data zake. Kule ni mahusiano au enjoyment au biashara. Sasa hii wapi na wapi mpaka mtu unaleta JF kujadili. Hiki ni kichekesho tu kama vile vya Mugabe basi huwezi vileta kwenye watu wenye akili nene.
 
Nafikiri bado hujamweelewa huyu Dada.
 
Huyo dada kamaanisha kwa sababu ya experience na vyote hivyo anavyo, mwenye kubisha basi aende akapige hodi kwa huyo bimdada
 
Do not panic mkuu ilikuwa ni emagination tu
 
What the f@cking data??

National secrets,heaven secrets, or passing day
 
What the f@cking data??

National secrets,heaven secrets, or passing day
Stupid! If you have nothing personal to hide or protect from unauthorised people, some have! What if you lost or your mobile is stolen! There's nothing like National secrets, if it's national mean a lot of people knows about it!
 
Stupid! If you have nothing personal to hide or protect from unauthorised people, some have! What if you lost or your mobile is stolen! There's nothing like National secrets, if it's national mean a lot of people knows about it!
All must got equal values.

If you mean secret, means dignity too.

That is tusiime's logic.
 
Hebu fikiria mwanamke anakupa papuchi kila ukihitaji (mkeo,gf etc) lakini hawezi kukuachia simu yake hata dakika mbili! Ina password ambayo hata ukikuachia mwaka mzima hutaifungua ila kumtongoza ulitumia nusu saa tu (inawezekana wa kwako akawa tofauti)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…