lord commander
Member
- Feb 2, 2024
- 23
- 104
Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA.
Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii imekuwa kawaida.
Je, Tutaweza kupambana na kipindupindu Ilihali mvua zinanyesha?.
Ujinga wetu watanzania na wanambeya kwa ujumla ni huu wa kujisifia sijui mbunge wetu ni rais wa mabunge sijui ilihali jimbo lake linakosa maji na bado Mbeya inaitwa Jiji.
RUBBISH...