Napenda kulishaur jeshi letu imara LA polisi kubidili mfumo mzima ,kuanzia wakuu wa vituo vidogo,vya kati na vya kanda maalum,ofisi za upelelezi kwa kubdili watendaji wake ,kwani naamini jeshi lina vijana wazur na wenye taaluma nzur,ila wengi wao taarifa za kiintelejensia zikifikishwa kwa viongoz hazifanyiw kazi, polisi wanatumia mfumo wa bottom-up approach .hivyo nivyema viongoz wa ngazi za chiini wakabadilishwa kwa kuweka vijana wachapakazi na wapo wengi,pia wanakiu ya kuubadili utendaji kazi wa jeshi letu,tuna mengi ila ngoja niishie hapa ,wengine leteni mawazo yenu.