Katika Siasa za Sasa je Wasira alitakiwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,723
8,943
Wakuu ,Nimefuatilia hotuba za Mh Wasira anapokuwa katika majukwaa nikajiuliza je amechelewa kuwa Makamu Mwenyekiti??Je ni kwamba CCM hawana mtu mwingine katika kushika wadhifa huu ambaye bado anaweza kwenda na Kasi? Kama aliyekuwepo ana miaka 70+ Na akaona sasa niwakati wa kupumzika ila aliyemrithi ana 80+ Je hii ni nini?? Kwakuwa siasa za leo zimebadilika zinahitai speed je Wasira ataweza?
Je nini maana yake katika umri wa kustaafu au katika siasa hakuna kustaafu??
Je ilikuwa wakati sahihi CCM kuanza kuwarecruit vijana kushikaa nafasi hizi?
Maoni yako ni muhimu karibu!
 
Back
Top Bottom