Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,622
Aman iwe nanyi wana wa MUNGU

Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao

Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana

FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi

Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran

Samia must go

LONDON BOY
 
Hizo ni mbwembwe tu.wananchi wakiamua hakuna wa kuzuia.tumejionea Kenya walipoamua wananchi polisi walifanya u babe wao mwishoe wakashindwa nguvu na kupelekea kutimiza madai ya wananchi Kwa serikali.Hata huko misiri wakati wa mapinduzi ulikuwa hivohivo hatimaye nguvu ya umma ikawashinda polisi.hakuna kuogopa polisi Wala nini.Aluta continua
 
Tumefika hapa kwakua kuna tabaka la watu wanaamini wao ndio wenye haki miliki ya nchi na wenye akili kuliko mtu yoyote sijui kwa manufaa ya nani lakini hawalisaidii Taifa wala watu wake
 
Kama waandamanaji wanadhani watapambana tu na polisi wanaota wanaume JWTZ wataingia mtaani wakivalia nguo za polisi

Sababu chadema hiyo kauli yao ya Samia must go ni uhaini na uhaini hukabiliwa kwa excessive force sio normal force

Wasidhani itatumika nguvu ndogo kuwadhibiti itatumika kubwa mno sababu kuna uhaini

Hayo maandamano sio ya mtu kushiriki sababu atakuwa sehemu ya uhaini mtu aweza ozea jela au kupewa kilema cha maisha au kupoteza uhai
Hayo mambo ya Samia must go ya kukaa nayo mbali
 
Aman iwe nanyi wana wa MUNGU

Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao

Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana

FFU wakiwa wanalinda bank wanabeba SMG na AKA 47 kwenye kuzuia maandamano wanabeba silaha ambazo hazijawahi kuonekana technology ya myahudi

Lakini sis haturudi nyuma tarehe 23 kama kawaida tuko barabaran

Samia must go

LONDON BOY
Picha ya hizo silaha
 
Mbowe kaihirisha maandamano, anadai anawasikiliza maaskofu wanaofanya kikao na serikali.
 
Ujinga mtupu ,watekaji wanapeta vizuri lakini wanashindwa kuwakamata ila wakisikia CDM wanataka kuandama patrol kama zote.
 
Noona ni kampango kama Majiji korofi hata Mwanza nimekutana nao na Gari zao mbili mbovu..... sasa sijui hizo ndio wataweza kupambana na wana mwanza wote wenye akili siku wakizingua ?
 
Hizo ni mbwembwe tu.wananchi wakiamua hakuna wa kuzuia.tumejionea Kenya walipoamua wananchi polisi walifanya u babe wao mwishoe wakashindwa nguvu na kupelekea kutimiza madai ya wananchi Kwa serikali.Hata huko misiri wakati wa mapinduzi ulikuwa hivohivo hatimaye nguvu ya umma ikawashinda polisi.hakuna kuogopa polisi Wala nini.Aluta continua
Kwa Tanzania haiwezekani na haitotokea ndani ya miaka 30 ijayo.
Nadhani kwa mbaali ingewezekana/iliwezekana kipindi cha baba R1.
 
Back
Top Bottom