Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,732
- 28,652
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru
Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm
Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni lakini katibu mkuu wa kanisa hilo ambaye pia ni padre wa Jimbo kuu la singida aligoma kuwapa kipasa sauti akisema wanaweza wakarushiana maneno
Lakin cha kushangaza mwamposa hata kujifunza alishindwa yeye kampa mike makonda, ndo yametokea haya ya yakobo, nebkadineza na Yusuf
Na mengine mengi
Mbalikiwe sana maaskofu wa kanisa katoliki kuanzia jana nawaheshimu sana hakika nyie ni taasisi
LONDON BOY