Katibu UVCCM Shaka H. Shaka: Tuko tayari kwa mapambano na BAVICHA

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,863
Katika hali ya kushangaza amesema serikali haijapiga marufuku mikutano ya kisiasa bali ile yenye viashiria vya kuvuruga amani. Amesema mkutano wa CCM ni wa kikanuni na hivyo UVCCM kama walinzi wa chama na viongozi wake wako tayari kwa mpambano na BAVICHA.

Amesema anawashangaa BAVICHA kuingilia mkutano usiowahusu kwani huu si mkutano wa chama chao. Amesema anajua BAVICHA hawana ubavu wa kupambana na UVCCM na akasema wanawasubiri Dodoma.

Chanzo: RFA, Mambo mambo

My take: Wanawasubiri Dodoma wakati Dodoma tu wameshajiandikisha 500?
 
Ingekuwa upinzani wangekuwa wameshaita press kufuta mkutano
ni kweli. kwa upande wangu naona tatizo ni polis wetu kutokuwa fair kwa pande zote.....kuna hatari huko mbele tuendako kama taifa.
 
hakuna fair jamani.ndio maana wengine wanaamua kuvaa mabomu ya kujjtoa mhanga anazama katikati ya nyomi anajibastisha.chocheeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…