Katibu Mkuu wa ODM awataka wanachama wa ODM walioteuliwa na Rais Ruto kujiuzulu

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,193
4,460
Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna hivi majuzi amejipata kwenye njia panda kuhusu uteuzi wa baadhi ya wanachama katika Baraza la Mawaziri la Rais William Ruto.

Ruto alipendekeza mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha ODM, John Mbadi kuwa Waziri wa Hazina ya Kitaifa huku naibu viongozi wa chama, Hassan Joho na Wycliffe Oparanya, wakiwa mawaziri wa Madini na Ushirika mtawalia.

Mbunge wa Ugunja Opiyo Wandayi, ambaye ni mkuu wa masuala ya kisiasa wa ODM, aliteuliwa katika Wizara ya Nishati.

Pia soma > President William Ruto Names Second Batch of The Cabinet

Akizungumzia suala hilo, Sifuna aliteta kuwa itakuwa kinyume cha sheria kwa kikundi hicho kuendelea kushikilia nyadhifa zao katika chama.

“Natarajia ifikapo mwisho wa siku au kabla ya kwenda kupigwa msasa, tutapokea barua za kujiuzulu katika nyadhifa zao kwenye chama kwa sababu sheria ni kwamba hawawezi kuingia kwenye Baraza la Mawaziri wakiwa wanachama wa vyama vya siasa,” alisema Sifuna.

Chanzo: Edwin Sifuna awataka Joho, Mbadi na Oparanya kujiuzulu kwa kumkumbatia Ruto

--
Sifuna: Raila, ODM had no hand in Ruto Cabinet picks

Orange Democratic Movement (ODM) Party Secretary-General Edwin Sifuna has dismissed claims that the political outfit has joined President William Ruto’s government.

This is a day after four of the party’s top officials accepted appointments to various Cabinet posts.

The four include Deputy Party Leaders, Wycliffe Oparanya and Ali Hassan Joho, Party Chairman John Mbadi and the Secretary for Political Affairs, Opiyo Wandayi.

Their acceptance of the presidential appointment has drawn accusations of betrayal from Kenyans who consider ODM as a ‘pro-people’ party as well as their Azimio coalition members who have rejected an alliance with the troubled Kenya Kwanza administration.

Sifuna, on Thursday said that a decision to crossover from the opposition to the government side must be agreed upon through a party resolution of all members and must be formalised through valid legal instruments, conditions he believes have not been met.

“If ODM made a resolution to join a coalition or a government of national unity with the United Democratic Alliance (UDA), I would say it. I’m not afraid. I don’t fear Gen Z, Ruto, or Raila,” said Sifuna while speaking to Citizen TV.

Source: Sifuna: Raila, ODM had no hand in Ruto Cabinet picks
 
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Back
Top Bottom