Pre GE2025 Katibu Mkuu wa NLD Doyo Hassan atangaza nia ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
1,002
1,979
Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu, huku akiahidi kuleta mageuzi katika sekta mbalimbali nchini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Morogoro, Doyo amebainisha mambo 10 ambayo atayazingatia na kuyapa kipaumbele endapo atapata ridhaa ya kuliongoza Taifa la Tanzania.

Okay sawa doyo 🐒
 
Ni sawa na mbwa kuutaka mfupa uliomshinda fisi. Ningekuwa yeye ningewekeza kwenye ubunge, at most!
 
CCM wameanza kuchafua game. watawajazia watu, wakiona wameshindwa utasikia DOYO 28%,Lisu 28%,Samia 44%
 
Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu, huku akiahidi kuleta mageuzi katika sekta mbalimbali nchini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Morogoro, Doyo amebainisha mambo 10 ambayo atayazingatia na kuyapa kipaumbele endapo atapata ridhaa ya kuliongoza Taifa la Tanzania.

Watu aina hii ni mawakala wa Ccm kuipa uhalali wa kuingia kwenye uchaguzi haramu.

Kuunga mkono uchaguzi ambao unaelewa kabisa kuwa hautakuwa wa huru na haki na kamwe hauwezi kushinda huwa wana agenda B vifuani mwao, kuna jambo lenye manufaa binafsi kalilenga hapo.
 
Kila chama kina katiba yake mawaxo yake na malengo yake

Ndio maana kuna vyama vingi tofauti .Vyama vyote haviwezi kuwa na mawazo na misimamo kama Chadema

Vinginevyo wangeua vyama vyao na wangejiunga na Chadema tu

Usiwapangie nini cha kuwaza.Wewe una chama chako baki na hayo mawazo yako na misimamo.yako wengine waache na yao

Wewe sio headmaster wa vyama vingine
 
Lisu hagombei hela ya kampeni kuzunguka.nchi nzima hana
Hivyo ndio CCM huiba kura, Nakumbuka Anna Mugwira walimpa kura nyingi maeneo ambaya hata hakuwahi kufika, na hata hawamtambui, kila mtu alikuwa anashangaa huyo mgombea ni nani lakini unakuta CCM wamempa kura zote za CDM, ili kuficha ukweli.

Huyo utashangaa hata asipofanya kampeni utaambiwa kapata 28% ya kura zote nchini.
 
Uongo

Mawakala wa vyama vyote huwepo vituoni vya kupiga kura

Hizo kura za kugawiwa bure
Mbona mawakala huwa hawasemi?
 
Uongo

Mawakala wa vyama vyote huwepo vituoni vya kupiga kura

Hizo kura za kugawiwa bure hao mawakala
Mbona mawakala huwa hawasemi?
Muongo wewe na CCM yako.

Utajifunza October 2025.

Mawakala hawana kauli yoyote kwenye uchaguzi, zile ni taratibu tu za kutafuta kuhalalisha wizi.

Sidhani kama unaamini 2019, 2020 mawakala hawakuwepo, na vyama vyote isipo kuwa CCM ndio walishinda peke yao.
 
Back
Top Bottom