Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi & Uenezi Bi Sophia Mjema wauzika rasmi Upinzani Mkoani Morogoro

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
5,396
4,749
IMG-20230203-WA0223.jpg
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Daniel Chongolo akiendelea na ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM na Kusikiliza Kero Mbalimbali za wananchi katika Mashina, Matawi, Kata na wilaya mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, leo 03 Feb 2023, amepokelewa wilayani Morogoro vijijini, akitokea Wilaya ya Ulanga.

IMG-20230203-WA0222.jpg
Baada ya mapokezi hayo, Ndg. Chongolo ameshiriki Mkutano wa Shina No 2 ,Tawi la Kiroka ulioongozwa na Balozi Shomari Mkude, baada ya mkutano Msafara ulielekea Kata ya Kinole na kuzungumza na wanachi pamoja na wanachama wa Kata hiyo wilaya ya Morogoro vijijini.

IMG-20230203-WA0221.jpg
Katika Ziara hiyo Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo ameambatana na Katibu wa halmashauri kuu ya CCM Taifa Comred Issa Haji Ussi (Gavu) Idara ya Organaizesheni pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema .

# TunaImaninaSamia
#KaziIendelee
 
Hapa CCM ndio inaonesha ujabali wake. Walilia mikutano ya hadhara, wameachiwa na mikutano yenyewe wameishia mitatu wamekaa kimya. Jamaa katoka ubeligiji badala wajenge chama anazulura kwenye vyombo vya habari kupambana na Marehemu. Alafu 2025 waje na stori za kuibiwa kura.
 
Ikitokea tumeuona upinzani unaendelea kutamba zaidi hapo "Mlogolo",tukuiteje?
 
Rubbish, mnapoteza muda bure. Hiyo vi seminar vya kuzika upinzani ndio vitawaletea wananchi maji, umeme na kupunguza inflation!?. Mmejaa drama.
 
Hapa CCM ndio inaonesha ujabali wake. Walilia mikutano ya hadhara, wameachiwa na mikutano yenyewe wameishia mitatu wamekaa kimya. Jamaa katoka ubeligiji badala wajenge chama anazulura kwenye vyombo vya habari kupambana na Marehemu. Alafu 2025 waje na stori za kuibiwa kura.
Hawana hela
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Daniel Chongolo akiendelea na ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM na Kusikiliza Kero Mbalimbali za wananchi katika Mashina, Matawi, Kata na wilaya mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, leo 03 Feb 2023, amepokelewa wilayani Morogoro vijijini, akitokea Wilaya ya Ulanga.

Baada ya mapokezi hayo, Ndg. Chongolo ameshiriki Mkutano wa Shina No 2 ,Tawi la Kiroka ulioongozwa na Balozi Shomari Mkude, baada ya mkutano Msafara ulielekea Kata ya Kinole na kuzungumza na wanachi pamoja na wanachama wa Kata hiyo wilaya ya Morogoro vijijini.

Katika Ziara hiyo Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo ameambatana na Katibu wa halmashauri kuu ya CCM Taifa Comred Issa Haji Ussi (Gavu) Idara ya Organaizesheni pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema .

# TunaImaninaSamia
#KaziIendelee
Kumbe Pangawe iko overpopulated kiasi hicho!!!
 
miaka mi7 iliyopita ilisemwa hivihivi upinzani unazikwa rasmi ajabu ni kiumbe gani kinaendelea kuzikwa wakatitwajuwa mtu azikwa mara moja tu!
 
Back
Top Bottom