MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,266
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda ngazi kwenda juu ya tanki wakati akikagua ujenzi wa mradi wa chanzo cha maji cha Ikongoro, mjini Mpanda leo
Katibu Mkuu, Kinana akishiriki kulaza mabomba kwenye mtaro alipokagua mradi huo wa maji eneo la Kazima Mpanda mjini.
Mjumbe wa Shina namba 32 katika tawi la Makanyagio mjini Mpanda, Thobias Kazimzuri akizungumza wakati Katibu Mkuu, Kinana alipohudhuria kikao kwenye shina hilo
Katibu Mkuu, Kinana akizungumza kwenye mkutano huo kwenye shina namba 32 mjini Mpanda, Katavi.
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape akiwa na wanachama wa shina namba 32 wakati wa kikao alichohudhuria Kinana kwenye shina hilo.
Msafara wa pikipiki ukitoka Ofisi ya CCM mkoa wa Katavi, kwenda Uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanywa na Kinana kwenye Uwanja wa Kashaulili, leo mjini Mpanda
Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda na kuhutubiwa na Kinana