Katibu Mkuu wa CCM aongoza sekretarieti kuhani msiba wa MNEC Morogoro

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
Na Mwandishi Wetu,
Morogoro.

Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo aongoza Viongozi wa Sekretarieti ya H/Kuu ya Taifa kuhani msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa Morogoro Marehemu Hassan Masoud (Bantu) nyumbani kwa Marehemu, Kata ya Boma, Morogoro Mjini leo tarehe 21 Mei 2021.

IMG-20210521-WA0145.jpg
IMG-20210521-WA0143.jpg
IMG-20210521-WA0144.jpg
IMG-20210521-WA0142.jpg
IMG-20210521-WA0147.jpg
IMG-20210521-WA0149.jpg
 
Mola amlaze panapostahili komredi BANTU ,Aamin!!!

Nikiwa mwanachama wa CCM ninafarijika kumuona katibu wetu mkuu comrade Chongolo akituwakilisha wanachama tulio mbali!!!

Siempre CCM!!
 
Huyu Katibu mkuu mpya kimuonekano tu anaonekana hatokua na huruma hata chembe kwenye sanduku la kura,au nasema uongo wanaufipa?
 
Back
Top Bottom