Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,460
Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi Bei Elekezi na ndugu yangu Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi.
Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema apewe 5 tena, baada ya hapo apumzike awe mshauri tu.
Tuanze na katiba za vyama vyetu, then katiba ya nchi.
Ni mimi Mrusi wa Buza.