Katiba nzuri Kenya kwenye Jamii iliyojaa Rushwa ni mzaha

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,619
8,210
Ndugu zetu Kenya walipata katiba Mpya mwaka 2010.

1. Haki na wajibu zimeainishwa vyema, kuanzia Preamble mpaka kila ibara (japo by implications wanaruhusu 🌈 maana sheria inasema ndoa Ni muunganiko wa watu wawili bila kusema jinsia zao).

2. Rais kapunguziwa madaraka, yamepelekwa Kwa Wananchi kupitia bunge/seneti. Ila rushwa ndo inaongoza kuliko katiba eg. Kuwaengua magavana madarakani Kwa kakosa ya matumiz mabaya ya ofisi (maseneta wanapewa rushwa tena na kugeuza matokeo).

3. Ukubwa wa serikali uliongezeka (kutoka majimbo/provinces 5 mpaka kaunti 47=wage bill kubwa. .. more taxes should be collected).

4. Rushwa/wizi kuanzia ngazi za juu mpaka mfagizi.

NB: uteuzi unapitia bungeni ambao bado ni siasa zinachezwa -makada (toka makabila ya Rais na Naibu Rais ndio wanalamba Asali badala ya sifa stahiki.

**Usawa wa kijinsia 50/50 Ila miaka 14 baadae hawajafika hata 25%
 
..ulidai Kenya wanaandamano kwasababu hawajaendelea.

..Sasa Tanzania maandamano ni nadra sana, Je sisi ni nchi iliyoendelea?

..Je, Watanzania hatuna madai yoyote dhidi ya serikali yetu?
Afrika madai hayatekelezwi Kwa maandamano Bali utashi wa "Viongozi" Kenya hata uchaguzi wa hao wanaoitwa Viongozi wanaingia madarakani kwa rushwa. Hizo Kodi wanazokamuliwa gen Z zinaenda kulipia maisha ya anasa ya wanaoitwa Viongozi
 
Back
Top Bottom