Wakoloni walitawala Tanganyika ikiwa na majimbo manne tu ! Huko ndio kubana matumizi. Siku hizi mbali ya kwamba kuna teknologia ya tehama lakini kuna utitiri wa mikoa na Wilaya, ambayo inaongeza matumizi ya serikali. Penye nia pana njia , Acha kutoa visingizio visivyoeleweka katika mambo muhimu ya kitaifa. Je Wananchi wanataka Katiba mpya? lete kura ya maoni kuhusu Katiba. Anayeshindwa inabidii akubali maoni ya wengi. Hiyo ndio demokrasia! Mchezo unakuwa umekwisha , mnajiwekea utaratibu kwamba kura ya maoni inaweza kurudiwa tena baada ya kipindi cha mpito cha miaka 4 au mitano.Hodi Wana jamii F
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Ili mradi asivunje sheria kwenye mchakato wa hii KATIBA MPYA. Wana siasa na wale wote wabobezi wa mambo ya Katiba njoni na hoja za nguvu siyo nguvu zenu zinazotokana na uroho wenu wa madaraka.
Kuhusu kipengere ndani ya Katiba pendekezwa kinachohusu muundo upi wa serikali unaofaa napendekeza iwe serikali mbili au Moja na siyo tuwe na serikali tatu Kwa sababu tatu:-
1. Serikali mbili tutabaki na serikali hizi hizi hatutaongeza ofisi ya Raisi wa serikali ya tatu
Hali hii itatufanya tuendelee kuwekeza kwenye ujenzi wa miundombinu ya Nchi siyo kuongeza wizara za serikali ya tatu ,na kufanya Kodi zetu zigeuzwe kuliwa na watu badala yake ziendelee kujenga miundo mbinu ya Nchi yetu sioni umuhimu wa serikali ya tatu kwani mzigo ni kwetu Hawa hawa WATANZANIA hawatatoka sehemu nyingine kuja kubeba serikali ya tatu
2. Nashauri ibaki serikali Moja isipokuwa makamu wa Raisi atoke sehemu mojawapo ya muungano,Raisi akitoka Tanganyika awamu hii makamu wa Raisi atoke Zanzibar , na awamu ambayo Raisi atatokea Zanzibar basi makamu wake atokee Tanganyika.
Hii itajenga muungano wetu na Hali ya kisiasa itakuwa imara maana Kila upande kwenye Baraza la mawaziri Na huko baadhi ya wizara zitamkwe kama Rais ametoka upande Moja waziri mkuu atoke pia upande pili alikotokea makamu wa Raisi. Na Katiba pia ieleze upande wa majeshi na sehemu ya wizara mawaziri wateuliwe na makamu wa Raisi Ili kumpa nguvu ya kutawala nk.
WATANZANIA shitukeni wasitubebeshe mzigo kwani hata huu tulio ubeba umetushimda Kila siku ni kilio bajeti tegemezi tufike mahali Nchi hii tule keki wote Watanganyika na Wazanzibari tuonane ni ndugu vinyongo vitaisha.
Nawasilisha.
Hodi Wana JF,
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Ili mradi asivunje sheria kwenye mchakato wa hii Katiba Mpya. Wana siasa na wale wote wabobezi wa mambo ya Katiba njoni na hoja za nguvu siyo nguvu zenu zinazotokana na uroho wenu wa madaraka.
Kuhusu kipengere ndani ya Katiba pendekezwa kinachohusu muundo upi wa serikali unaofaa napendekeza iwe serikali mbili au Moja na siyo tuwe na serikali tatu Kwa sababu tatu;
1. Serikali mbili tutabaki na serikali hizi hizi hatutaongeza ofisi ya Raisi wa serikali ya tatu
Hali hii itatufanya tuendelee kuwekeza kwenye ujenzi wa miundombinu ya Nchi siyo kuongeza wizara za serikali ya tatu, na kufanya Kodi zetu zigeuzwe kuliwa na watu badala yake ziendelee kujenga miundo mbinu ya Nchi yetu sioni umuhimu wa serikali ya tatu kwani mzigo ni kwetu hawa hawa Watanzania hawatatoka sehemu nyingine kuja kubeba serikali ya tatu.
2. Nashauri ibaki serikali Moja isipokuwa makamu wa Raisi atoke sehemu mojawapo ya muungano, Rais akitoka Tanganyika awamu hii makamu wa Raisi atoke Zanzibar, na awamu ambayo Raisiatatokea Zanzibar basi makamu wake atokee Tanganyika.
Hii itajenga muungano wetu na hali ya kisiasa itakuwa imara maana kila upande kwenye Baraza la Mawaziri na huko baadhi ya wizara zitamkwe kama Rais ametoka upande mmoja Waziri Mkuu atoke pia upande pili alikotokea makamu wa Rais, na Katiba pia ieleze upande wa majeshi na sehemu ya wizara mawaziri wateuliwe na makamu wa Raisi Ili kumpa nguvu ya kutawala nk.
Watanzania shitukeni wasitubebeshe mzigo kwani hata huu tulio ubeba umetushimda Kila siku ni kilio bajeti tegemezi tufike mahali Nchi hii tule keki wote Watanganyika na Wazanzibari tuonane ni ndugu vinyongo vitaisha.

Naunga mkono hoja Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"Hodi Wana JF,
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Ili mradi asivunje sheria kwenye mchakato wa hii Katiba Mpya. Wana siasa na wale wote wabobezi wa mambo ya Katiba njoni na hoja za nguvu siyo nguvu zenu zinazotokana na uroho wenu wa madaraka.
Kuhusu kipengere ndani ya Katiba pendekezwa kinachohusu muundo upi wa serikali unaofaa napendekeza iwe serikali Moja
Nashauri ibaki serikali Moja isipokuwa makamu wa Raisi atoke sehemu mojawapo ya muungano, Rais akitoka Tanganyika awamu hii makamu wa Raisi atoke Zanzibar, na awamu ambayo Raisi atatokea Zanzibar basi makamu wake atokee Tanganyika.
Nawasilisha.
Mzee Warioba kaainisha mambo 7, kati ya hao yenye gharama ni 3. Ulinzi, mambo ya ndani na nje...serikali ya muungano iwe na Raisi.
..serikali za Tanganyika na Zanzibar ziongozwe na mawaziri wakuu.
..wizara ya muungano ziwe chache za mambo muhimu ya kitaifa kama fedha, ulinzi, mambo ya nje.
..sio kweli kwamba tukiwa na serikali 3 gharama zitaongezeka. Jambo la msingi ni sisi kujipanga kikatiba na kisheria kudhibiti gharama hizo.